__
Hili ni ongezeko kutoka kwa takwimu za awali zilizotolewa na polisi nchini humo, ambazo zilisema watu 1,280 walikuwa wamefariki.
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 12:00:40
Mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za wanawake la Setawit, Dkt. Sena Tefera, amesema inatia wasiwasi kuona wanawake wengi kuliko wanaume wakiamini kuwa ukatili wa majumbani unaweza kuhalalishwa.
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 10:03:21
Chaneli za Telegram za Urusi zinatumia madai ya uongo ya ubakaji na picha za wanawake wa Ukraine kuwavuta mamilioni ya watumiaji kwenye mitandao ya propaganda inayounga mkono vita.
__
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 05:58:58
Kheibar Shekan, kombora la Iran lenye masafa ya kati, linasemekana kuwa na nafasi muhimu katika kuchochea ongezeko la mvutano kati ya Marekani na Israel.
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 05:01:11
Kujiuzulu kwa Waziri wa Jeshi la Marekani, Dan Driscoll, kumeibua tena mjadala kuhusu mwenendo wa mambo ndani ya Pentagon.
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 02:57:01
Everton inatathmini uwezekano wa kuwasajili Jamie Vardy au Anthony Martial. Wakati huo huo, Wilfried Zaha anaweza kuhamia AC Milan, huku Estevao Willian akifikiria kuondoka Chelsea kutafuta nafasi zaidi ya kucheza.
Alhamisi, 3 Septemba 2026 saa 11:05:19
Akiwa na umri wa miaka 14, Xiaomei, mwanafunzi stadi kutoka mkoa wa pwani nchini Uchina, alimeza dawa ya kikohozi kupita kiasi.
Alhamisi, 3 Septemba 2026 saa 04:51:03
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
Alhamisi, 3 Septemba 2026 saa 03:25:40
Kuishi nje ya kipato ni moja kati ya makosa ambayo baadhi ya watu wanafanya kwa kujua au kwa kutojua.
Jumatano, 2 Septemba 2026 saa 09:49:03
“Yahoo Boys” wa Nigeria ni vijana wanaotumia simu zao na ujanja wao kuwashawishi baadhi ya wahanga wawape maelfu ya dola.
Jumamosi, 29 Agosti 2026 saa 11:47:27
Hii ni kauli ya kwanza kutoka kwa kiongozi wa CCM kueleza hadharani mazingira na uamuzi wa kumfukuza Nchimbi katika chama hicho.
Jumatano, 2 Septemba 2026 saa 05:59:21
Matumizi ya rangi kuwasilisha hisia za furaha na uzuri yamekuwepo kwa maelfu ya miaka.
Alhamisi, 3 Septemba 2026 saa 05:58:25
"Papa mara nyingi huonekana kama viumbe wapweke, lakini utafiti mpya unaonyesha kwamba papa wana uhusiano mkubwa na maisha tata ya kijamii."
Ijumaa, 28 Agosti 2026 saa 03:57:06
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Jumatano, 26 Agosti 2026 saa 22:08:18
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Alhamisi, 27 Agosti 2026 saa 10:56:06
Ingawa walihudumu katika nchi mbili tofauti na chini ya mifumo tofauti ya kisiasa, hatima za Emmanuel Nchimbi wa Tanzania na Rigathi Gachagua wa Kenya zimeibua mjadala unaofanana kuhusu uhusiano kati ya marais na manaibu wao, hasa pale tofauti za kisiasa zinapoanza kujitokeza.
Alhamisi, 27 Agosti 2026 saa 05:25:56
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Ijumaa, 21 Agosti 2026 saa 11:30:27
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Alhamisi, 20 Agosti 2026 saa 10:05:01
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Jumatano, 19 Agosti 2026 saa 03:20:31
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Ijumaa, 31 Julai 2026 saa 07:01:30
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Jumatano, 26 Agosti 2026 saa 09:54:19
Licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika mabadiliko ya tabianchi, bado ni miongoni mwa maeneo ambayo hayajajitayarisha vya kutosha kukabiliana na madhara yake ya moja kwa moja.
Jumapili, 30 Agosti 2026 saa 06:02:39
Kuanzia Moringa hadi Fonio, na ikijumuisha Baobab, Mtama, na Teff, vyakula kadhaa vya Kiafrika vinajulikana kwa utajiri wake wa virutubisho.
Ijumaa, 28 Agosti 2026 saa 11:58:19
Siku moja baada ya kutangazwa kwa kampeni mpya ya Marekani ya kuweka shinikizo la kiuchumi dhidi ya Iran, vyombo vikuu vya habari nchini humo vilikubaliana katika jambo moja
Jumanne, 1 Septemba 2026 saa 10:52:02
Unahisi vipi wakati buibui anapokimbia ghafla sebuleni? Buibui wengi wana sumu, lakini ni idadi ndogo tu kati yao inayoweza kuhatarisha maisha ya binadamu.
Ijumaa, 28 Agosti 2026 saa 04:39:17
"Ukikimbia kuingia katika chumba, wanachoma chumba hicho moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia, wanakupiga risasi."
Jumatatu, 31 Agosti 2026 saa 05:08:46
Je, dunia ikikumbwa na janga kubwa, utaweza kuishi? Wataalamu wa maandalizi ya majanga wanaeleza mambo muhimu unayohitaji ili kujiandaa engapo hali hii itatokea.
Jumapili, 30 Agosti 2026 saa 04:15:50
"Ni mji mzuri na wenye kukaribisha," anasema Sunday, mmoja wa wateja wa Anik, ambaye amehamia hapo hivi karibuni akitokea Devon.
Jumatatu, 31 Agosti 2026 saa 06:19:13
Hili ni swali ambalo limekuwa likizua mjadala mkali kwa miaka mingi miongoni mwa familia, kwenye mitandao ya kijamii, na miongoni mwa marafiki.
Ijumaa, 28 Agosti 2026 saa 09:47:39
Si rahisi kuanzisha biashara na kuifanya ifanikiwe bila kuweka juhudi na kufikiri kwa kina. Mambo haya yamekuwa msingi wa mafanikio yaliyowafanya baadhi ya watu matajiri zaidi duniani kuwa mabilionea.
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Alhamisi, 3 Septemba 2026 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Jumatano, 2 Septemba 2026 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Jumanne, 1 Septemba 2026 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 04:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Ijumaa, 4 Septemba 2026 saa 03:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Alhamisi, 3 Septemba 2026 saa 04:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Alhamisi, 3 Septemba 2026 saa 03:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki































